GET /api/v0.1/hansard/entries/1403593/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1403593,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403593/?format=api",
"text_counter": 240,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Bw. Naibu wa Spika, nachukua nafasi hii kama Seneta wa Kilifi nikijua kwamba Waziri aliye hapa ni dada kutoka Kilifi. Sikua nimempa kongole. Kama Seneta wa Kilifi, nampa kongole rasmi kwa kuchaguliwa kama Waziri wa Gender, Culture, the Arts and Heritage. Hio ni nafasi kubwa ambayo watu wa Kilifi walipewa. Namshukuru Mhe. Rais kwa kumchagua dadangu, Hon. Aisha Jumwa. Tumetoka mbali naye. Alikuwa womenrepresentative, kabla ya kuchaguliwa kama Member of Parliament (MP). Amefanya mambo mengi. Nina uhakika anaweza kazi kwa kuwa alikuwa na ujasiri wakati wa kujibu maswali."
}