GET /api/v0.1/hansard/entries/1403594/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1403594,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1403594/?format=api",
    "text_counter": 241,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kathuri",
    "speaker_title": "The Deputy Speaker",
    "speaker": {
        "id": 13590,
        "legal_name": "Murungi Kathuri",
        "slug": "murungi-kathuri"
    },
    "content": " Asante Kiongozi wa Wachache. Bi.Waziri, tunakushukuru sana kwa kufika hapa. Hii Seneti ina watu ambao wamekomaa na hawana mambo mengi. Usiwe na shaka kufika hapa. Hata kama hujaitwa, unafaa kuja kutusalimia. Heri njema katika kazi unayofanya. Asante."
}