GET /api/v0.1/hansard/entries/1404288/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1404288,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404288/?format=api",
"text_counter": 72,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Nilibahatika kuwa na Generali Ogolla katika ofisi yake tarehe 11 mwezi huu, kabla ya mauti yake. Kwa hakika, alikuwa na ari ya kuhakikisha nchi imepata amani. Mimi sikushtuka nilipoambiwa yeye mwenyewe alikuwa ameenda kutembelea zile shule. Hii ni kwa sababu aliniambia atakuja Lamu Mashariki kutembelea sehemu ya Boni na zingine. Mwenyezi Mungu apatie familia yake subra na awasaidie pale kwenye pengo. Asante."
}