GET /api/v0.1/hansard/entries/1404476/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1404476,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404476/?format=api",
"text_counter": 260,
"type": "speech",
"speaker_name": "Malindi, ODM",
"speaker_title": "Hon. Amina Mnyazi",
"speaker": null,
"content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Leo hii nasimama hapa kumshukuru ndugu na jirani yangu Mhe. Owen Baya, kwa kuleta Mswada huu hapa Bunge ambao ninaunga mkono. Hii ni kwa sababu watu ambao wameathirika sana ni sisi Wapwani, hususan upande wa Kaunti ya Kilifi. Maswala ya ardhi yamekuwa donda sugu sana kule kwetu."
}