GET /api/v0.1/hansard/entries/1404478/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1404478,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404478/?format=api",
"text_counter": 262,
"type": "speech",
"speaker_name": "Malindi, ODM",
"speaker_title": "Hon. Amina Mnyazi",
"speaker": null,
"content": "Tume hii ni mahali tunaenda kupeleka vilio vyetu na tunapokelewa vizuri. Kama Mbunge wa Malindi nataka kusema ya kwamba dhulma za kihistoria ni nyingi sana, hususan upande wa title deeds ndani ya Malindi. Inashangaza ya kwamba wenye Malindi waliozaliwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor"
}