GET /api/v0.1/hansard/entries/1404482/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1404482,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404482/?format=api",
    "text_counter": 266,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Malindi, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Amina Mnyazi",
    "speaker": null,
    "content": "Tunapofunga hii tume mikono, wale watu ambao tayari kesi zao zilishaanza wataenda wapi na watasikizwa na nani? Mapendekezo yangu kama vile Mhe. Baya na Wabunge wengine walivyosema, ni kwamba tuunge mkono Mswada huu ili tuzidi kupatia tume hii nguvu. Tuweze kuwaongezea muda ili waweze kutatua zile shida zote za ardhi tumekua nazo. Asante sana, Mhe. Naibu wa Spika."
}