GET /api/v0.1/hansard/entries/1404500/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1404500,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404500/?format=api",
"text_counter": 284,
"type": "speech",
"speaker_name": "Wundanyi, WDM",
"speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
"speaker": null,
"content": "nyumba zao zitabomolewa. Rais anapaswa aseme vile alivyosema juzi – kuwa hakutakuwa tena na mauaji nchini Kenya. Rais anapaswa aseme clearly kuwa hakutakuwa tena na ubomoaji wa nyumba."
}