GET /api/v0.1/hansard/entries/1404962/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1404962,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404962/?format=api",
    "text_counter": 338,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Timu za kimataifa ambazo wakati mwingine zinakwenda Afrika Kusini zitapata fursa ya kufanya maandalizi yao katika eneo la Mombasa ili kuona kwamba kuna biashara na michezo ya kimataifa ili tuweze kusonga mbele. Bw. Spika wa Muda, naomba kukomea hapo na kumwalika Seneta wa Kilifi, Sen. Madzayo, kuunga mkono Hoja hii."
}