GET /api/v0.1/hansard/entries/1404964/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1404964,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404964/?format=api",
    "text_counter": 340,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia. Ninaunga mkono alivyosema ndungu yangu, Sen. Faki. Ni kweli kwamba michezo ina faida yake. Michezo inawezakufanyika iwapo kuna uwanja mkubwa ama uwanja wa kimataifa. Kaunti kama Nandi anakotoka Sen. Cherarkey kuna wakimbiaji na wachezaji wa mpira. Hawachezi mpira sana kwa sababu kazi yao ni kukimbia. Kukimbia kwao kunaleta sifa katika nchi yetu ya Kenya. Hiyo inachangiwa na kuwepo kwa miundomsingi ama viwanja vya kukimbilia ni jambo la muhimu sana."
}