GET /api/v0.1/hansard/entries/1404970/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1404970,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404970/?format=api",
"text_counter": 346,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, naunga mkono Hoja hii. Pesa inafaa kutengwa na Wizara ya Michezo, Sanaa na Masuala ya Vijana ili viwanja vitengenezwe. Uwanja wa Michezo wa Mombasa hujatengenezwa. Ni vyema shilingi bilioni moja nukta saba itengwe ili watu wa Pwani wafaidike pia. Naunga mkono Hoja hii."
}