GET /api/v0.1/hansard/entries/1404977/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1404977,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404977/?format=api",
    "text_counter": 353,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Maanzo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13589,
        "legal_name": "Maanzo Daniel Kitonga",
        "slug": "maanzo-daniel-kitonga"
    },
    "content": "Naunga Hoja hii muhimu mkono. Ningeomba Serikali izingatie masuala ya Pwani. Siyo tu wakati wa kuomba kura pekee, ambapo wapwani wanawapa kura zao na wakati wa maendeleo wanaachwa nyuma. Mwenye Hoja hii, Seneta wa Mombasa, amesema kuwa wakati Standard Gauge"
}