GET /api/v0.1/hansard/entries/1404979/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1404979,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404979/?format=api",
    "text_counter": 355,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Maanzo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13589,
        "legal_name": "Maanzo Daniel Kitonga",
        "slug": "maanzo-daniel-kitonga"
    },
    "content": "ilitengenezwa, biashara nyingi zilianguka. Hii ni njia moja ya kurudisha biashara na wageni Mombasa na kuhakikisha ya kwamba uchumi wa Mombasa unaimarika. Pia talanta zilizo Pwani zimenaswa na Wakenya wengi wamejitokeza kushiriki kwenye Olimpiki na michezo ya kandanda ya kimataifa. Asante, Bw. Spika wa Muda. Ninaunga mkono."
}