GET /api/v0.1/hansard/entries/1404992/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1404992,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404992/?format=api",
"text_counter": 368,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Cherarkey",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13217,
"legal_name": "Cherarkey K Samson",
"slug": "cherarkey-k-samson"
},
"content": "Ninakupata, Bw. Spika wa Muda. Hata hivyo, ukiangalia katika sehemu ya Katiba 96, Bunge la Seneti liko na jukumu la kuchunga na kulinda mambo ya ugatuzi. Bw. Spika wa Muda, ingawa na zingatia onyo lako, tukiona ugatuzi unaangamizwa katika kaunti yoyote, kama Bunge ni vyema kuitaja ndio kupitia ofisi yako na ya Seneta wa Kaunti ya Narok afuatilie. Hii ni kwa sababu tumepigania haki ya demokrasia katika ----"
}