GET /api/v0.1/hansard/entries/1404994/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1404994,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1404994/?format=api",
    "text_counter": 370,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Cherarkey",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13217,
        "legal_name": "Cherarkey K Samson",
        "slug": "cherarkey-k-samson"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, ninakubaliana na wewe. Lakini kupitia ofisi yako na kiti chako, kwa heshima kubwa, ni muhimu Seneta wa Narok na Bunge hili walivalie njuga suala hilo, hasa Kamati ya masuala ya Ugatuzi ndio tuweze kujua kinacho endelea kule katika Kaunti ya Narok. Kwa heshima, naunga mkono Hoja hii. Tuko na jukumu kama taifa. Kenya inajulikana sana kwa kubobea kwa wanamchezo na wanariadha ambao wametajika. Nataka kumuunga mkono Seneta wa Mombasa kwa hii Hoja. Asante, Bw. Spika wa Muda."
}