GET /api/v0.1/hansard/entries/1405013/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1405013,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405013/?format=api",
    "text_counter": 389,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Olekina",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 407,
        "legal_name": "Ledama Olekina",
        "slug": "ledama-olekina"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, nilikuwa nimeandika taarifa ndogo iweze kunisaidia kuchangia kwa Hoja hii, lakini kuna mambo utaniruhusu kuongea kwa lugha ya Kiingereza ndio iweze kueleweka. Mtanieleza inafaa kuwa nini kwa lugha ya Kiswahili. Wakati wowote tunapotenga pesa za Wakenya, public funds, ni lazima tuzingatie vitu viwili. Wazungu wanaviita, cost benefit analysis na long-term sustainability. Hilo ndilo jambo nililolizungumzia, kwamba, kama Maseneta wa kaunti zote 47 ni lazima tujiulize zile pesa tunazotenga za kujenga kama hospitali---Tusipate shida tena kama"
}