GET /api/v0.1/hansard/entries/1405033/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1405033,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405033/?format=api",
    "text_counter": 409,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wambua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13199,
        "legal_name": "Enoch Kiio Wambua",
        "slug": "enoch-kiio-wambua"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, hapo mbeleni, Sen. Kinyua alikuwa akifikiria ni yeye pekee anaweza kuongea Kiswahili. Sisi pia tunakimanya . Sen. (Dr.) Khalwale alimuona wapi Gavana Joho akibeba kitita cha milioni mia tano? Akizungumza hapa, pia alisema kuwa ana uhakika kuwa ufisadi umekita mizizi kwa wanaume lakini hauko katika upande wa wanawake sana. Kuzingatia Kanuni za Kudumu za Seneti Nambari 105, anafaa kutueleza anavyoyajua maneno hayo."
}