GET /api/v0.1/hansard/entries/1405040/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1405040,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405040/?format=api",
    "text_counter": 416,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Khalwale",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 170,
        "legal_name": "Bonny Khalwale",
        "slug": "bonny-khalwale"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, naomba wenzangu wanisikize. Endapo mtu ana maoni tofauti, anisahihishe katika mchango wake. Kulingana na sheria za Bunge hili, kuna uhuru wa kuzungumza. Ikiwa tutaua uhuru wa kuzungumza, basi tutaogopa kusema ni nani anayeiba mbolea wakati huu. Wacha niwaambie, mkiua uhuru wa kuzungumza katika Bunge hili---"
}