GET /api/v0.1/hansard/entries/1405042/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1405042,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405042/?format=api",
    "text_counter": 418,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Methu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13581,
        "legal_name": "Methu John Muhia",
        "slug": "methu-john-muhia"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, nimekusikiza ulipokuwa ukitoa mwelekeo wako. Kabla Sen. (Dr.) Khalwale aseme ikiwa atakuja kueleza au la, nafikiri ni vyema mimi pamoja na Naibu Mwenyekiti wa Kamati ya Uhasibu wa Pesa za Umma, almaarufu, County Public Accounts Committee (CPAC), tueleze jinsi Sen. (Dr.) Khalwale alivyosema."
}