GET /api/v0.1/hansard/entries/1405044/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1405044,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405044/?format=api",
"text_counter": 420,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Methu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13581,
"legal_name": "Methu John Muhia",
"slug": "methu-john-muhia"
},
"content": "Tulipoenda kule Mombasa kama wanakamati, kama alivyosema, milioni mia tano zilikuwa tayari zimewekwa katika akaunti. Hii ni taarifa iliyo katika kumbukumbu zetu hapa za Bunge. Kwa hivyo, mtu hafai hata kumwuliza Sen. (Dr.) Khalwale. Bw. Spika wa Muda, nipe nafasi nimalize---"
}