GET /api/v0.1/hansard/entries/1405048/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1405048,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405048/?format=api",
    "text_counter": 424,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Methu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13581,
        "legal_name": "Methu John Muhia",
        "slug": "methu-john-muhia"
    },
    "content": "Ni hoja ya nidhamu. Kiongozi wa Wachache, Jaji mstaafu, Sen. Madzayo, aliyatumia maneno haya haya kwamba ni sawa maneno haya yathibitishwe. Hicho ndicho nilitaka kueleza kwenye hoja yangu ya nidhamu. Basi ningependa kumfahamisha, Sen. (Dr.) Khalwale."
}