GET /api/v0.1/hansard/entries/1405051/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1405051,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405051/?format=api",
"text_counter": 427,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Methu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13581,
"legal_name": "Methu John Muhia",
"slug": "methu-john-muhia"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, ili kumfahamisha Seneta, wakati tulienda Mombasa, sababu ilikuwa kuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu, almaarufu, Auditor-General, alisema kuwa milioni mia tano zilikuwa zimetumika kwa uwanja huo ambao Sen. Faki ameomba uongezwe bilioni moja nukta saba. Tulipofika kule, tulipata hakuna kitu. Naibu wa Mwenyekiti anaweza kuthibitisha kuwa tulipoenda kule, hatukupata kitu kilichofanana na milioni mia tano. Ndio maana Sen. (Dr.) Khalwale amesema ni lazima mambo haya yaelezwe. Najua amepata taarifa sasa."
}