GET /api/v0.1/hansard/entries/1405195/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1405195,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1405195/?format=api",
    "text_counter": 36,
    "type": "scene",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika, ingekuwa ni Nairobi haina stima kwa muda wa siku kumi na nne, Mawaziri wa kila Wizara wangekuwa hapa wakipeleka wahusika mbio. Lakini kwa sababu ni Kiunga,msimamizi mkuu wala wa kikanda hawajaenda huko hata."
}