GET /api/v0.1/hansard/entries/1406279/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1406279,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1406279/?format=api",
"text_counter": 205,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kuria East, UDA",
"speaker_title": "Hon. Maisori Kemero",
"speaker": null,
"content": "Kwa sababu hiyo, hata mapendekezo yaliyoko mbele yetu sio dawa ya kumaliza shida zilizoko nchini Kenya. Mawazo yangu ni kama yafuatavyo: Kwanza, Mwenyekiti anayepewa umuhimu sana anahitajika kupewa kinga ambayo Waingereza wanaiita insulation dhidi ya baadhi ya mambo tuliyoyaona kule Bomas of Kenya palipokuwa na tatizo hili. Matukio yale yanatusababisha sisi kujifunza kwamba tumempa mtu mmoja majukumu mengi muhimu lakini hatumuamini. Tunamwekea mambo mengi na watu wanamzunguka. Anashindwa kutekeleza kazi yake inavyofaa. Hata akifanya hivyo, anashukiwa. Kwa bahati mbaya, hatuwezi kuweka sheria ya tabia. Kwa Kiingereza, you cannot legislate bad or good manners. Ni vigumu. Lakini itawezekana ikiwa huyu bwana atapewa nafasi afanye kazi yake vizuri alafu sisi Wakenya The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor"
}