GET /api/v0.1/hansard/entries/1407006/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1407006,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1407006/?format=api",
    "text_counter": 576,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana Mhe Spika. Kwa vile sheria iko wazi kuwa hatuna mwanya wakati huu kuweza kugeuza ile orodha ambayo imetolewa, mimi kama mama ninasema kuwa moto unaowaka humu ndani wakati huu ni zaidi ya yale tunayoyaona humu ndani. Kwa hivyo, wale ambao wamechaguliwa humu ndani, nawaomba, wakulima wameweka macho kwenu wanataka haki zao. Kwa vile hatuna nguvu za kupindua hii orodha wakati huu, tunawaridhia nyinyi mkafanye kazi, mtuletee majibu ambayo ni mwafaka kwa wakulima, wapate haki yao. Ahsante sana, Mhe. Spika."
}