GET /api/v0.1/hansard/entries/1408534/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1408534,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1408534/?format=api",
    "text_counter": 607,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Mhe. Spika wa Muda, asante sana kwa wakati huu adhimu nami nichangie mjadala huu wa mafuriko. Kwanza ninamkosoa Mbunge wa Kilifi North, Mhe. Owen, Baya kwa kusema kuwa pesa za disaster haziko na tunaenda ku- allocate. Tulipewa Ksh6 bilioni ambazo ni za mikasa . Lakini mpaka leo watu wanaumia Kenya kwa sababu ya mafuriko na hizo pesa hazijatoka. Ninaomba yule ambaye anahusika azitoe hizo pesa. Ninajua nikianza kuwataja mtaniambia mimi ni kitunguu na natoa harufu. Wacha ninyamaze."
}