GET /api/v0.1/hansard/entries/1410303/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1410303,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1410303/?format=api",
"text_counter": 440,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Ahsante sana Bi. Mwenyekiti wa Muda kwa kunipa nafasi nipigie upato marekebisho haya. Wanabiashara wengi wamekuwa wanaibiwa muda wa kufanya biashara yao baada ya kulipa leseni. Kwa hivyo marekebisho haya yataweka safi kuwa, wanaweza kulipa leseni yao wakati wowote na kumaliza mwaka mzima kabla ya kuisha. Ninajua watu wengi walikuwa wanaibiwa. Leo wanabiashara watakuwa na furaha sana tukifanya mabadiliko haya. Kwa hivyo ninayaunga mkono marekebisho."
}