GET /api/v0.1/hansard/entries/1411059/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1411059,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1411059/?format=api",
"text_counter": 58,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taita Taveta County, UDA",
"speaker_title": "Hon. Haika Mizighi",
"speaker": null,
"content": "Hoja hii imekuja wakati mufti kabisa na inapaswa kuungwa mkono kwa sababu inayo mapendekezo ya heshima kwa wanajeshi wetu. Ni vyema tuwahseshimu tukilinganisha na huduma wanayoipatia nchi yetu. Wao hulinda nchi na kudumisha amani. Kwa hivyo, hili ni jambo rahisi sana kwetu."
}