GET /api/v0.1/hansard/entries/1411114/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1411114,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1411114/?format=api",
"text_counter": 113,
"type": "speech",
"speaker_name": "Turkana West, UDA",
"speaker_title": "Hon. Daniel Nanok",
"speaker": null,
"content": "Kwa kumalizia, jeshi liko na sifa isiyofaa kuondolewa kwa wananchi wetu. Kwa mfano, wanapopeana nafasi za kazi nao pia wadumishe heshima yao. Tunawasihi wawe na usawa kwa kuajiri haswa kwa wale wanaotoka Kaskazini mwa Bonde La Ufa. Watu wetu wanapenda hiyo kazi na pia wako na ujasiri."
}