GET /api/v0.1/hansard/entries/1411678/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1411678,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1411678/?format=api",
    "text_counter": 70,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika, kwa kunipatia nafasi nitoe rambirambi zangu na familia yangu, pamoja na watu wangu wa Lamu Mashariki kwa familia ya Generali Ogolla na familia ya wanaanga ambaye Generali Ogolla mwenyewe alikuwa rubani. Kwa familia yote ya aviation fraternity natoa rambirambi."
}