GET /api/v0.1/hansard/entries/1411873/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1411873,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1411873/?format=api",
"text_counter": 265,
"type": "speech",
"speaker_name": "Malindi, ODM",
"speaker_title": "Hon. Amina Mnyazi",
"speaker": null,
"content": "Kwa hivyo, leo nasimama hapa kuunga mkono Mswada huu. Hii ni kwa sababu najua jambo la kwanza, tume hii imekua mahali ambapo tunakimbilia na wanatupatia sikio. Niko na uhakika katika upande wa ardhi za kule Pwani kuna suluhisho ambazo zimeweza kutufikia kupitia tume hii. Tukiikata mikono niko na hofu na wasiwasi ya kwamba tayari zile kesi ambazo ziko pale mpaka dakika hii hazitaweza kukamilika."
}