GET /api/v0.1/hansard/entries/1412734/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1412734,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1412734/?format=api",
    "text_counter": 160,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Mhe Spika. Waziri alisema kuwa amewapatia madaktari hadi Julai ili waweze kutatua mambo yao. Kuna yule mama mjamzito ambaye mtoto amefika wakati wake wa kuzaliwa na anahitaji daktari kumsaidia. Je, ana mpango gani kwa huyu mtoto? Kwa nini ameondoa Linda Mama ambayo inasaidia akina mama? Ahsante sana, Mhe. Spika."
}