GET /api/v0.1/hansard/entries/1417561/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1417561,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1417561/?format=api",
"text_counter": 731,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kilifi County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Gertrude Mwanyanje",
"speaker": null,
"content": " Ahsante, Mhe. Spika wa Muda. Nimengojea nafasi hii ili niweze kupinga hoja moja katika Mswada huu. Ningependa kuzungumzia ualikaji wa hawa mawaziri wadogo. Ninaomba Serikali iwalipe na kuwaandika madaktari. Madaktari huwa wanapata shida. Madaktari wamegoma na interns hawajaandikwa kazi, ilhali tunawahitaji zaidi. Walimu wengi katika shule za sekondari wameandikwa na kulipwa mishahara na"
}