GET /api/v0.1/hansard/entries/1417933/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1417933,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1417933/?format=api",
    "text_counter": 360,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisauni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
    "speaker": {
        "id": 13383,
        "legal_name": "Ali Menza Mbogo",
        "slug": "ali-menza-mbogo"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii nami niweze kuchangia Hoja hii. Kwanza, kuwashugulikia walemavu ni baraka kubwa sana kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Hata Mhe. ambaye ameleta Hoja hii, tayari ameshapata baraka za Mwenyezi Mungu. Mimi nimefanya bidii nichangie niwe miongoni mwa wale ambao watakaopata baraka."
}