GET /api/v0.1/hansard/entries/1417934/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1417934,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1417934/?format=api",
"text_counter": 361,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kisauni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
"speaker": {
"id": 13383,
"legal_name": "Ali Menza Mbogo",
"slug": "ali-menza-mbogo"
},
"content": "Mataifa mengi ya kigeni yamepata maendeleo makubwa ama ustawi wa jamii zao kwa sababu ya baraka ambazo wamezipata kupitia kuwashugulikia wale wanaohitaji msaada kama walemavu, wazee na watu wanaoangalia walemavu hao. Kwa hivyo, hii ni jambo kubwa sana. Hata mimi ninasimama kusema, pia wale wanaoshugulikia walemavu wapewe stakabadhi maalum, ambayo wakifika mahali popoteā¦"
}