GET /api/v0.1/hansard/entries/1418904/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1418904,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1418904/?format=api",
"text_counter": 211,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "mahali pataloa maji halafu tupate hasara. Badala ya kwenda mbele, turudi nyuma. Swali langu la pili na la mwisho ni, ni lini utatuma wataalamu waende wakaangalie mahali pazuri? Kisha, uta g azzette lini ripoti hiyo ya wataalamu? Asante, Bw. Waziri."
}