GET /api/v0.1/hansard/entries/1418912/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1418912,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1418912/?format=api",
"text_counter": 219,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Cabinet Secretary for Interior and National Administration",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Hon. (Prof.) Kindiki Kithure): Bw. Spika wa Muda, ni kweli kuwa nimetatizika pale kidogo. Sen. Mungatana, MGH amesema kweli kuwa wataalam hawatahusika katika mambo ya kambi ya GSU. Wataalam wanahusika kukagua ni sehemu gani isiyo na maji ili tujue kama patafaa kuweka makao makuu ya kaunti ndogo ya Tarasa."
}