GET /api/v0.1/hansard/entries/1419044/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1419044,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419044/?format=api",
    "text_counter": 96,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Ningependa kushukuru Kamati ya Afya na niwaambie kuwa kazi wanayoifanya ni nzuri. Wauguzi, madaktari pamoja na maafisa wa afya ni kiungo muhimu sana katika serikali yetu. Lakini sisi wote tunalipa ushuru na ushuru huo ndio unaotumika kulipa madeni tuliyo nayo."
}