GET /api/v0.1/hansard/entries/1419202/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1419202,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419202/?format=api",
"text_counter": 254,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika wa Muda, ningependa kuchukua nafasi hii nami pia nitoe maoni yangu kuhusu Hoja hii iliyoletwa na Sen. Faki, ili kujengwe uwanjwa wa kimataifa sehemu ya Pwani. Hoja hii ni muhimu kwa sisi sote ambao tunatoka sehemu hiyo. Ukweli wa mambo ni kwamba sisi tulipokuwa watoto tulikuwa tukienda ufukoni kule kuogelea na"
}