GET /api/v0.1/hansard/entries/1419209/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1419209,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419209/?format=api",
    "text_counter": 261,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Omogeni",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13219,
        "legal_name": "Erick Okong'o Mogeni",
        "slug": "erick-okongo-mogeni"
    },
    "content": ", wakenya wote wanatazama runinga. Mara nyingi anatuletea dhahabu sisi. Kama Seneta wa kaunti ya Nyamira, ningependa Gavana ambaye naheshimu sana, Mhe. Amos Nyaribo, ajikakamue na amalize ujenzi wa uwanja wa Manga. Hakuna mtu hata gavana mwenyewe anaweza kujenga nyumba yake zaidi ya miaka 12. Ukiamua"
}