GET /api/v0.1/hansard/entries/1419211/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1419211,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419211/?format=api",
    "text_counter": 263,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Omogeni",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13219,
        "legal_name": "Erick Okong'o Mogeni",
        "slug": "erick-okongo-mogeni"
    },
    "content": "kuwafanyia wakaazi wa kaunti kitu, fanya kwa haraka. Huwezi kutumia hizo pesa zote na baada ya miaka 12 haujamaliza uwanja huu. Hili ni jambo ambalo halifai. Rafiki yetu Gavana wa kaunti ya Mombasa, ambaye ni kijana wa mzee tuliyempenda sana, hon. Sharrif Nassir, akipata hizi pesa kwa kibahati tunamwomba azitumie vizuri na ahakikishe kuwa wakaazi wa Mombasa wamepata uwanjwa wa mpira ambao utakuwa wa kiwango cha kitaifa kama vile vingine. Sijui kama kuna timu ambayo inacheza kwenye Kenya Premier League kutoka Mombasa?"
}