GET /api/v0.1/hansard/entries/1419213/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1419213,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419213/?format=api",
    "text_counter": 265,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Omogeni",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13219,
        "legal_name": "Erick Okong'o Mogeni",
        "slug": "erick-okongo-mogeni"
    },
    "content": "Kuna Bandari FC? Ningependa imenyane na timu yetu kutoka Gusii inayoitwa Shabana pale Mombasa. Tukienda pale tunasema ‘turebobe’ kwa lugha ya Kisii. Hiyo ndio slogan yetu. Acha tuwasaidie vijana wetu wapate uwanja mzuri. Unaweza amka kesho upate - kama tunaoenda kutazama mechi ya Bayern Munich na Real Madrid FC- kijana kutoka kaunti ya Mombasa akicheza katika European Champions League. Akicheza kule sisi wote tutakuwa tunajivunia kama Wakenya. Akienda kule pia atakuwa anasaidia kunawirisha uchumi wetu. Ningependa pia kumweleza Seneta rafiki yangu ambaye ameingia. Nilisikia kuwa alichangia maneno ya madaktari na kusema kuwa wanafaa kulipwa kama mawakili ambao hawajahitimu. Namwomba rafiki yangu, Sen. Cherarkey, akumbuke Waswahili husema usitukane mkunga uzazi ungalipo. Siwezi kamtusi daktari kwa sababu ninaweza toka hapa nijipate niko katika mikono ya daktari. Nikienda hospitalini ningependa nipewe huduma na daktari ambaye amelipwa mshahara na serikali yetu na ambaye ana pojo nyumbani, ili atuhudumie vizuri. Bw. Spika wa Muda wanaoumia sana katika mgomo huu ni---"
}