GET /api/v0.1/hansard/entries/1419219/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1419219,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419219/?format=api",
    "text_counter": 271,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Omogeni",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13219,
        "legal_name": "Erick Okong'o Mogeni",
        "slug": "erick-okongo-mogeni"
    },
    "content": "Nafurahi sana kwa sababu rafiki yangu Mhe. Cherarkey sasa amegundua umuhimu wa madaktari na amesimama hapa kuwaomba msamaha. Ingekuwa jambo la kustaajabisha sana kama angerudi nyumbani na alale, ilhali ameongea vibaya kuhusu madaktari. Kwa hivyo, katika kitengo cha uwakili, mimi naitwa mshauri mkuu"
}