GET /api/v0.1/hansard/entries/1419223/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1419223,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419223/?format=api",
"text_counter": 275,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Omogeni",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13219,
"legal_name": "Erick Okong'o Mogeni",
"slug": "erick-okongo-mogeni"
},
"content": "Wacha nimalize. Kuhusu maneno ya madaktari walio kwenye mgomo, kampuni za bima ya afya hazipeani bima kwa walimu waliotufundisha kule nyumbani na wazazi ikiwa wamefika miaka 80 na zaidi. Kwa hivyo, wale wakenya wanaoumia zaidi ni wazazi wetu."
}