GET /api/v0.1/hansard/entries/1419225/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1419225,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419225/?format=api",
"text_counter": 277,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Omogeni",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13219,
"legal_name": "Erick Okong'o Mogeni",
"slug": "erick-okongo-mogeni"
},
"content": "Naomba msamaha. Ni kwa sababu madaktari wakiwa wamegoma hulali. Ndio maana nikaonelea ‘niibe’ dakika moja nizungumzie kwa sababu sijui wakati nitahitaji daktari. Naweza kuwa kule Nyamira na niugue homa. Nitakimbia katika Hospitali Kuu ya Nyamira kupata huduma ya dharura. Ndio maana nazungumza kwa dakika moja tu kwamba Serikali yetu ijaribu kutafuta suluhisho. Sisi kama viongozi hatulali."
}