GET /api/v0.1/hansard/entries/1419227/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1419227,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419227/?format=api",
"text_counter": 279,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Omogeni",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13219,
"legal_name": "Erick Okong'o Mogeni",
"slug": "erick-okongo-mogeni"
},
"content": "Tunapokea simu nyingi mno kutoka kwa wale ambao tunawakilisha hapa. Sitaki kuzungumza zaidi ya hayo. Nimesimama kuunga mkono Hoja ya rafiki yangu, Seneta wa Mombasa, Seneta mwenye bidii sana. Sio wengi wanafikiria kuja kuomba pesa kupelekea gavana kujenga uwanja wa mpira. Namshukuru sana Sen. Faki kutoka Mombasa. Na pia, naomba maseneta wenzangu waunge Hoja hii mkono ili tumpe hizi fedha wajenge uwanja wa mpira katika kaunti ya Mombasa. Asante."
}