GET /api/v0.1/hansard/entries/1419229/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1419229,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419229/?format=api",
    "text_counter": 281,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Oketch Gicheru",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante sana, Bw. Spika wa Muda. Pia mimi namuunga mkono ndugu yangu Sen. Faki, ambaye ni Seneta maarufu na mwenye bidii katika Bunge; kwa hii hoja ya kuidhinishwa kwa ruzuku ya masharti kwa ujenzi wa uwanja wa manispaa ya Mombasa. Mombasa ni Jiji la pili katika nchi yetu. Ni aibu kubwa kwa jiji la pili katika nchi yetu kukosa uwanja au vifaa vya kisasa vinavyoashiria mambo ya michezo na kitamaduni. Tunafaa kuwa na vifaa vya kisasa kule Mombasa. Hii ni kwa sababu, utapata Nairobi iko na vifaa kumi kama hivi na Mombasa hamna. Inafaa hivi vifaa visaidie watu ambao wanaenda kule Mombasa na Wapwani pia. Hii Hoja inafaa kuashiriwa kwa undani na sisi kama Seneti. Ukiangalia kule Pwani, unapata kila saa, sisi huongelea maneno ya vijana kutumia mihadarati. Tumeongea kuhusu janga la mihadarati kule Pwani kwa miaka na"
}