GET /api/v0.1/hansard/entries/1419239/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1419239,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419239/?format=api",
"text_counter": 291,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Oketch Gicheru",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "nimesema jina lake kwa Kiswahili. Inaonekana umesema jina lake kwa Kizungu. Nakubali kwamba jina linafaa kutamkwa sawa katika Kiswahili na Kizungu. Mwisho ni kwamba kulingana na Kipengele cha Katiba 203, Serikali Kuu ina uwezo kupatia Kaunti ya Mombasa pesa--- Kabla Sen. Stewart azungumze, nilikuwa nasema kwamba Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki watakuja katika nchi yetu kushiri michezo inayofanyika kila mwaka. Ingekuwa vyema kama pesa zingepelekwa---"
}