GET /api/v0.1/hansard/entries/1419241/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1419241,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419241/?format=api",
    "text_counter": 293,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Khalwale",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 170,
        "legal_name": "Bonny Khalwale",
        "slug": "bonny-khalwale"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, naomba kumsahihisha Seneta wa Migori, kupitia Kipengele Nambari 105 cha Kanuni za Kudumu. Si haki kupotosha taifa kwamba mchezaji ambaye amefunga mabao mengi ni Dennis Oliech. Ningependa kukufahamisha kwamba Dennis Oliech aliwahi kufungia timu ya taifa mabao tisa. Michael Olunga amefunga mabao 50. Chege Ouma amefunga tisa na Victor Wanyama amefunga 58."
}