GET /api/v0.1/hansard/entries/1419245/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1419245,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419245/?format=api",
"text_counter": 297,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Oketch Gicheru",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika wa Muda, nimekuwa katika Bunge hili sasa unaelekea mwaka wa pili. Sijawahi kuona Seneta wa Kakamega akicheza hata mchezo wa akina mama wa kufunga mpira na kamba. Unajulikana kama “bladii.”"
}