GET /api/v0.1/hansard/entries/1419260/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1419260,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1419260/?format=api",
"text_counter": 312,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Mchango mwingine umetoka kwa Sen. Mungatana. Unajua siku zote jicho linaona lakini jicho pia huingia kitakataka. Nashangaa Sen. Mungatana anazungumzia maswala ya Mombasa akisema kuwa tuangalie tusifuje pesa za serikali. Lakini tukiangalia Kaunti ya Tana River, haina hata uwanja wa stadium. Huu ni mchango ambao sio wa Mombasa pekee, lakini Pwani nzima. Uwanja huu utafaidi timu kutoka Tana River, Lamu, Kilifi---"
}